Hizi mini valve bei yake ni 800 tunaandika 1000 kwa sababu bei ni ndogo hairuhusiwi inabidi ianzie elfu moja na kuendelea, Hizi hutumika kufunga na kufungua maji,kuthibiti presha kwa kuongeza nguvu ya maji kwa kuzungusha knob,kugawa zones kila sehemu ya shamba unaweza kuwa na valve yake na hutumika katika shughuli zote za umwagiliaji kwa sababu ni ngumu imara na zinadumu kwa muda mrefu hata zikikaa juani.