DIGOS EVENT DECOR
Ubunifu wa Kisasa na Kifahari, Kumbukumbu za Kudumu.
Tunabadilisha hafla yako kuwa tukio la kipekee kupitia mapambo ya kisasa, yenye mvuto na viwango vya juu vya ubora.
Mapambo ya Harusi na Send-off
Engagement na Kitchen Party
Birthday na Anniversary
Mapambo ya maua ya rose na puto
Maulidi
Mapambo ya kifahari kwa hafla mbalimbali
Mandhari maalumu za kupiga picha na mapambo ya mezani.
Tuakodisha Viti Meza na Matubai aina zote
Tunazingatia ubunifu, mpangilio, ubora na umaridadi katika kila tukio.
Piga simu/WhatsApp: +
DIGOS EVENT DECOR — Tunageuza Maono Yako Kuwa Uhalisia wa sasa na Kifahari.