Bajaji bado ipo katika ubora wake wa kufanya kazi bajaji haina tatizo lolote ata kwenda safari ndefu inaenda na bei yake ni milioni 4 na ukiichukua hakika pesa yako inarudi na faida juu yakutosna njoo uchukue mzigo wako
Condition: Foreign Used,
Colour: Green