Scooter nzuri, safi na ya kisasa inauzwa. Ina muonekano mkali, matumizi madogo ya mafuta na ni rahisi kuendesha mjini pamoja na safari za kila siku. Engine ipo vizuri, body safi, tairi zipo imara na iko tayari kutumika mara moja. Inafaa kwa kazi, biashara ya delivery au matumizi binafsi.