TEMPERATURE AND HUMIDITY METER ORIGINAL unauza kifaa maalumu kwa ajili ya kupima mazingira ya joto bandani [clock humidity +temperature reader]. kinatumia betri ndogo za saa na kinadumu na chaji kwa muda mrefu. kifaa hiki unaweza kukiweka ukutani bandani kwako na kikakusomea unyevu [humidity] pamoja na joto [temperature] pia kina saa . matumizi ya kifaa hiki ni muhimu sana kipindi cha kulea vifaranga. kwani kitakusaidia kujua kiwango cha hali ya joto na unyevu bandani. bei ni