Matenki magumu kabisa ya stainless steel ambayo hayapati kutu wala ukungu na yanatengenezwa pamoja na stand zake, yanafaa kuhifadhia maziwa,
mafuta,
juice,
pombe,
chemikali, pamoja na nafaka kwa muda mrefu bila kuharibika.
Utatengenezewa ujazo na muundo tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja