Je unahitaji kupima sample za bidhaa mbalimbali ulizonazo Kwa kuangalia kiwango Cha unyevu?
Basi karibu kwetu ujipatie machine hii ya kisasa Kwa Bei nafuu kabisa.
Display yake ni digital, touch screen, uwezo wa ku'sketch graph.
Kifaa ni sensitive na chenye kutoa majibu yenye kufanana Kwa Kila sample itayopimwa mara mbili mpaka tatu au zaidi.