tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Food, Agriculture & Farming
  3. Food & Beverages
  4. Grains
Dar es Salaam, Kinondoni, 4 hours ago
6 views

McHele Super Original Kutoka Mbeya

+1
Other
Brand
Grains
Type
Organic
Dietary Needs
White Rice
Grains
1000g
Weight
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam, Tanzania
We offer free delivery in Dar es salaam for orders above 1000kg.
Closed now
• Mon - Sat, 09:30-19:30
Mchele super halisi uliovunwa kutoka Mbarali, Mbeya katika mashamba ya bonde la Usangu yenye utajiri wa maji na ardhi bikira inayowezesha mpunga kukua kwa wingi na kwa afya njema bila mbolea wala kemikali yoyote. Kila punje imebeba ubora na ladha halisi moja kwa moja kutoka shambani. Ni mchele mtamu kutafuna na unanukia kabla, wakati na baada ya kupika. Wali wake unachambuka na una ladha halisi inayoburudisha mdomoni mpaka moyoni.
Show contact
McHele Super Original Kutoka MbeyaMcHele Super Original Kutoka MbeyaMcHele Super Original Kutoka Mbeya
TSh 2,999
Negotiable

TSh 2,850

≥ 50 pieces
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif