Hello karibuni mchele nzuri kutoka mpanda,Mchele wetu ni wa kiwango cha juu,umeenyooka hauna chengachenga,una harufu ya Michele halisi pia pishi lake ukipika unachambuka vizuri mnoo,karibuni sana,kwani unafaa kwa matumizi ya afya bora karibu ufurahie chakula cha kiTanzania