*KAHAWA* (LIVEN ALKALINE COFFEE)
*MANUFAA YAKE MWILINI*
1. Inapunguza kiwango cha cholesterol mwilini
2. Inazuia usipate ugonjwa wa moyo
3. Inasaidia mzunguko mzuri wa damu
4. Inasaidia kurekebisha kinga ya mwili
5. Huondoa sumu mwilini
6. Husaidia kuponya vidonda vya tumbo
7. Huondoa maumivu ya kichwa, uchovu, stress
8. Husaidia afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
9. Inasaidia watu wanaotaka kuacha pombe na sigara ( kuondoa vichocheo vya ulevi na addiction)
10. Inapunguza sana hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari daraja la pili ( Diabetes type two)
11. Inasaidia sana ini lisiharibike ( afya ya ini)