FOREVER ACTIVE BOOSTER *FAB* Kinywaji kama vinywaji vingine vya energy lakini haina kemikali haina kafeni ya kutengenezwa bali ina caffeine ya asili iliyo tengenezwa, Ina tunda linaitwa Guarana ambalo lilikua lina tumika zaidi ya miaka 1,000 Brazil . Ina saidia kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini. Rhodiola,Silizandra,Gingsen pamoja ina vitamin vingi kama vitamin B3,B5,B6,B12. *FAIDA ZAKE* ● Inasaidia kuondoa uchovu usiojulikana. ● Inasaidia kuondoa maumivu ya kichwa. ● Ina ongeza Nguvu. ● Inasaidia kuondokana na msongo wa mawazo. ● Inasaidia ubongo kufanya kazi vizuri. ● Inasaidia kurekebisha sukari na BP mwilini. ● Inasaidia kulinda Figo,Ini na Moyo. ● Inasaidia sana kurekebisha kumbukumbu n.k