Asali mbichi safi 100% original
asali halisi ya nyuki wakubwa kutoka tabora, haijachanganywa na maji wala sukari wala kupitishwa kwenye moto. nzito, tamu na ina harufu ya asili.
faida:
asili 100% organic
nzuri kwa afya, chai, uji, na dawa za asili
huongeza nguvu na kinga ya mwili
vipimo & bei:
250ml -
500ml -
1litre. -
tunapatikana: mabibo - nit, dar es salam
delivery: dar es salaam tunaleta mpaka ulipo, mikoani tunatuma kwa bus
piga/whatsapp
kwa oda yako sasa!