tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Babies & Kids
  3. Maternity & Pregnancy
Dar es Salaam, Kinondoni, 30/07
7 views

Ovulation Test Strip

+1
Other
Type
Brand New
Condition
Delivery
Across country
1-12 days
TSh 2,000 - 12,000
Ovulation Test Strip ni kifaa kinachotumika kubaini siku za rutuba kwa kupima kiwango cha homoni ya LH (Luteinizing Hormone) kwenye mkojo. Matokeo chanya huonyesha kuwa ovulation inaweza kutokea ndani ya saa 24–36, hivyo ni kipindi kizuri zaidi kwa wanaotafuta ujauzito. Ili kupata matokeo sahihi, fuata maelekezo ya matumizi na fanya kipimo kwa wakati unaofanana kila siku.Hiki kifaa ni rahisi kutumia maana kinatumika vile vile kama kile cha kupimia mimba utofauti tu hiki kinakusaidia kutambua ni wakati gani sahihi wa kupata mimba.Kwahiyo utakua unapima kila siku pale unapohisi ni wakati sahihi wa kupata mimba ili ku track ovulation yako au siku zako za hatari za kupata ujauzito.
Show contact
TSh 2,000
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif