machine zinazobadili maji magumu kuwa malaini, masafi kwa akunywa.
zina filters na r.o zinazochuja na kuondoa chumvi, magadi, kutu, vumbi, mchanga, matope, harufu,rangi na kuuwa wadudu .maji huwa masafi
kabisa yanayofaa kwa kunywa.
ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, shuleni, hospitalini, hotelini, viwanda na miradi mbali mbali ya maji.
zinatengenezewa machine zinazoweza kuchakata kuanzia lita 500 kwa saa na kuendelea.
mteja anashauriwa kununua machine kulingana na kiwango cha chumvi, magadi,
ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, shuleni, hospitalini, hotelini, viwanda na miradi mbali mbali ya maji.
zinatengenezewa machine zinazoweza kuchakata kuanzia lita 500 kwa saa na kuendelea.
mteja anashauriwa kununua machine kulingana kiwango cha chumvi, magadi kilichopo kwenye maji/ ripot ya maji
na mahitaj ya maji yake baada ya kuchujwa