STAINLESS STEEL TANK 304 materials
Stainless steel tanks Tanzania
Ni watengenezaji pekee wa stainless steel tank kwa matumizi mbalimbali ikiwemo majumbani , maofisini, mashuleni,vyuo mpaka kwenye viwanda kwa kuhifadhia maji, chemical viwandani, kuhifadhi dawa mbalimbali ,,pombe, Asali,mafuta,na vitu vingine vinavyowez kuhifadhika kwenye tank
SIFA ZINGINE ZA STAINLESS STEEL TANK
Haziwezi kushika kutu
haziruhusu bacteria kuzaliana ndani
haziathiliwi na Mwanga wa jua
Hudumu kwa muda mrefu
unaweza kuhifadhi aina yeyote ya kimiminika kwa muda mrefu bila kuharibika
Hudumu kwa muda mrefu tofauti na tank za plastic
smooth nd beautiful surface