Stainless
~Leading East Africa ni watengenezaji na wauzaji pekeee wa stainless steel tanks kwa ujazo wa small scale size na large scale size...
~Matanki yetu ni mazuri kwa matumizi kuhifadhi(storage purpose) na kuchanganya material (mixing purpose)
~Matanki yetu yametengenezwa kwa material ambayo hayawez kushika kutu,haziruhusu bacteria kuzaliana ndani,hayaasiliwi na mwanga wa jua,yanauwezo wa kudumu muda mrefu tofauti na tanks za plastics...
~Kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana nasi kupitia no
#mixingtanks
#storagetanks
#watertanks
#stainlesssteeltanks
#watertreamentsolution