Karibu Leading East Africa ujipatie stainsteeltank kwa Matumizi ya Nyumbani ,Mashuleni ,Viwandani ,Vyuoni ,Hospitali ,Taasisi za umma na Taasisi binafsi...
~Zinapatikana kwa ujazo mbalimbali na imara kwa Matumizi mbalimbali ...
SIFA ZINGINE ZA STAINLESS STEEL TANK
Haziwezi kushika kutu
haziruhusu bacteria kuzaliana ndani
haziathiliwi na Mwanga wa jua
Hudumu kwa muda mrefu
unaweza kuhifadhi aina yeyote ya kimiminika kwa muda mrefu bila kuharibika
Hudumu kwa muda mrefu tofauti na tank za plastic
smooth nd beautiful surface
Kwa maelezo zaidi tembelea ofisini zetu zilizopo Mbezi beach Africana... Au wasiliana
#stainsteel
#stainsteeltank
#tanks
#watertanks
#watertreatmentsystem