Mashine yakusaga na
kukoboa 2 in 1 .
za mafuta sasa zinapatikana .
faida za mashine hii
ina vinu viwili kimoja kinakoboa na kingine kinasaga .
inarahisisha kazi na kupunguza gharama .
inasaga nafaka kavu kama mahindi,mchele,ulezi ,mihogo, na nafaka zote kavu
inakoboa mahindi, mpunga, mtama dengu nk
inauwezo wakusaga kilo 250kwa saa
nzuri sana kwa kazi kwa maeneo ambayo bado hayana huduma ya umeme.
bei yake ni tsh 2,400,000/=
milioni mbili laki nne
mashine iko complete tayari .
wateja wa mkoni wanatumiwa kwa uhakika na usalama kwa gharama za mteja .
wahi kabla mazigo haijaisha