Zinabadili maji yenye #chumvi ,magadi,harufu ,rangi ,kuwa maji safi ,salama na yakunywa... Machine zina uwezo wakuzalisha lita kuanzia 250/hr Bei za machine zinazofautiana, hii ni kulingana na matumizi ya mteja pamoja na ugumu wa maji yake. Gharama za machine nipamoja na ufungaji!