Led mood light ni taa nzuri sana ambayo inatumia usb port unaweza we nyuma ya tv na kuongeza mvuto zaidi unavyo angalia tv pia unaweza weka juu ya paa au chini ya kitanda au sofa ina rangi na aina za mwanga zaidi ya 11 pia ina remoti yake na gundi yake unaweza pia unganisha na simu na ukaicontrol kupitia simu ni nzuri sana inaleta mvuto wa nyumba au chumba bei ni elfu 50 tu urefu ni mita 5