Led strip lights ina lights zaidi ya 15 iki na remote yake ya kucontrol ina support USB port unaweza unganisha na simu kisha ukachagua rangi ipi iwake au pia uka play music now ikawaka kufuata music beats ni nzuri sana pia ukiwasha usiku wakati wa kulala hutumika kureta mvuto wa chumba au sebule