Led Strip Light (Urefu Mita 10) Ina Mwanga Zaidi Ya 16
Dar es Salaam, Kinondoni, 26/05
12 views
Led Strip Light (Urefu Mita 10) Ina Mwanga Zaidi Ya 16
+1
2
A Nice Night
Brand
Lighting
Type
Brand New
Condition
Led strip light ni taa ambayo ina miabga zaidi ya 16 pia inakuja na remote yake taa hii unaweza weka juu ya paa nyuma ya tv nyuma ya show case au kitanda huongeza mvuto zaidi ya chumba chako urefu wake ina mita 10 ni ndefu sana