Firework Led Strip Light Ni Taa Nzuri Sana Kwa Pambo
1/2
Dar es Salaam, Kinondoni, 1 day ago
21 views
Firework Led Strip Light Ni Taa Nzuri Sana Kwa Pambo
+1
2
KA
Brand
Lighting
Type
Brand New
Condition
Firework led strip light ni taa ambayo inauwezo wa kuwaka kufuata mapigo ya sauti pia inamianga zaidi ya 16 na stairi mbali mbali za kuwaka inakuja na remote yake pia iko na app yake unaweza control kupitia simu yako taa hii ni nzuri sana