Salasala kwa gwajima mwisho wa rami kilomita 7 kutoka bagamoyo road. . kiwanja kina ukubwa wa 1633 sqm na kinauzwa 45,000,000/= . full documented, eneo zuri, upepo mzuri, majirani safi. . karibuni sana
Hi nyumba inajitegemea ndani ya fensi inavyumba viwili no master sebule stoo jiko choo cha pablic baicota pankig bei laki 7 kodi miezi 6 nyumba ipo kinondoni kwa pinda
Karibuni kwa maitaji ya nguo aina zote kike na kiume wallet. saa. sandals. viatu. kofia. cheni. bag nk kwa dar es salaam derivel kila kona mikoani natuma kwa bus kwa mawasiliano zaid njoo inbox karibuni
Kama unakihitaji fanya uje kukiona ili ndo tuongee mambo mengine ... kiwanja kimepimwa na kipo sehemu nzuri na huduma zote muhimu zipo,nguzo ya umeme na bomba limepita pembezoni mwa kiwanja ... kiwanja kipo nyuma ya shule ya msingi kiharaka na gari inafika hadi kwenye kiwanja hata mvua ya mafuriko inyeshe unarudi na gari yako hadi nyumbani... karribu nikuuzie ,
Eneo la uwekezaji heka tisa... (9). linauzwa mdaula centre eneo linagusa lami linafaaa kwa kujenga... hotel. kituo cha mafuta . yards. nk... pia ndani ya eneo kuna nyumba mbili... lipo morogoro mdaula town.
ukubwa : heka tisa... (9)
umiliki : hati miliki / title
loc. mdaula
_________________________________________
cont.
call whatsapp &sms
call only airtel
email
fb excela joshua
__________________________________________________________________
nyumba zote zilizomo ni
3.bead room 1self
siting room
sitting room
jiko
store
public toilets
maji na umeme.
__________________________________________________________________
hii sio ya kuikosa, ... ! karibu
kupelekwa site elfu 20
Nyumba ya gorofa inauzwa ipo mbezi bechi jijini dar es salaam nyumba nimpya kabisa ina kira kitu mdau wangu cctv camera kirakona ina vyumba vitano vyote nimaster ina bay cota ina vyumba vitatu eneo lime pimwa piga cm kwa maelezo zaidi mdau wangu
Salasala kwa gwajima
mwisho wa rami
kilomita 7 kutoka bagamoyo road.
.
kiwanja kina ukubwa wa 1633 sqm
na kinauzwa 45,000,000/=
.
full documented, eneo zuri, upepo mzuri, majirani safi.
.
karibuni sana
#apartment_inapangishwa kibamba kwa mangi
.
.
apartment za kisasa zipo 2 tuu kwenye fensi
.
.
zina vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master kubwa,sebule kubwa sana,jiko kubwa,store na choo cha familia
.
.
kodi ni 220,000/=x6
.
.
kila apartment inajitegemea kwa kila kitu
.
.
zipo kibamba kwa mangi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni kilometa 1.2
.
.
whatsapp
calls /
Nyumba bunju kwa jeshi inauzwa kwa bei nafuu sana...
vyumba 3 kimoja master bedroom... sitting room... dining room... kitchen... choo cha public...
fremu ya biashara... vibaraza viwili...
nyumba imeishia kwenye linta... meter 800 kutoka barabara ya bagamoyo(kituo cha basi)...
huduma zote muhimu zinapatikana jirani...
ukubwa wa kiwanja chake ni meter 20×20...
nyumba kiwanja chake kina hati ya mauziano...
wasiliana na mwenye nyumba kwa kutumia no
#apartment_for_rent mbezi kwa msuguri
.
.
Ina vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master,sebule kubwa,dining,jiko kubwa na choo cha familia .
.
.
.
Zipo apartment 3 kwenye eneo moja na hii moja ndio inapangishwa
.
.
Zipo mbezi kwa msuguri upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dakika 13 kwa miguu
Nyumba inapangishwa mbezi (kwa makonde).
🚀 nyumba ina chumba kimoja master, sebule na jiko.
🚀 nyumba ina maji, umeme (luku ya kwako) na ulinzi 100%
🚀 nyumba ipo karibia barabara na kituo cha basi
malipo ni miezi 6 + 1 ya udalali
#apartment for rent at mbezi kwa msuguri
.
.
ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni master bedroom, sebule kubwa, jiko lenye makabati na choo cha familia
.
.
nyumba ipo umbali wa dakika 5 kutoka morogoro road