Plot Yenye Msingi Wa Vyumba Vinne Inauzwa Mbezi Msakuzi

Posted Feb 2
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
94 views
Residential Land
Type
800
sqm
Square meters
Residential
Property Use
Water Supply, Electric Supply
Facilities
plot iko eneo zuri sanaa, limejengeka sanaa. Plot inamsingi ulikamilika, vyumba vinne, jiko, sebule, store etc. Shimo za vyoo zimekwisha chimbwa na kujengewa. Eneo ni safi na tulivu lenye nyumba za standard ya juu likiwa kwenye upimaji shirikishi. Kutoka barabarani ni dakika moja tuu unafika kituo cha daladala za Mbezi Msakuzi.
 • Plot Yenye Msingi Wa Vyumba Vinne Inauzwa Mbezi Msakuzi
 • Plot Yenye Msingi Wa Vyumba Vinne Inauzwa Mbezi Msakuzi
 • Plot Yenye Msingi Wa Vyumba Vinne Inauzwa Mbezi Msakuzi
 • TSh 28,000,000
  Last seen 1 day ago
  0717745113
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts