• Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500
More 6 photos "Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500"

Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500

Posted Apr 23
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
43 views
Residential Land
Type
500
sqm
Square meters
Residential
Property Use
Kiwanja hiki kimepimwa, mawe yasha wekwa, hati ndio zitatolewa mwaka huu.
Kina ukubwa wa 500sqm(angalia picha zilizo ambatanishwa na tangazo hili kukiona vizuri)
maji bomba kubwa la mtaa liko mita 30 tu kutoka site ilipo mtaa mzima washa fungiwa ma bomba na mita, maji yanatoka kila siku, kisima kikubwa cha Dawasa kiko maeneo hayo.
Umeme upo nyumba za pemben huitaji nguzo.
Eneo: mbezi beach ya salasala, mtaa wa nanyumbu.
Mita 300 kuingia Site kutoka Lami ya salasala road(Mwisho wa Lami)..
Bei: 15milion.
 • Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500
 • Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500
 • Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500
 • Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500
 • Kiwanja Kinauzwa- Salasala -kilimahewa Sqm500
 • TSh 17,000,000
  Last seen 1 week ago
  0625962883
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts