Swahili kiwanja kikubwa cha biashara kinauzwa - bagamoyo ukuni - kiwanja kiko: bagamoyo - ukuni.- kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.- kiwanja kimepakana na barabara ya dar bagamoyo.- kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa hotel, ofisi, shopping center, ukumbi, petrol station n.k.- huduma za kijamii zinapatikana karibu na plot - kiwanja kiko tambarale, hakuna milima wala mabonde - kiwanja kina ukubwa wa sqm 13,820
Square meters: 1382