Mradi mzuri wa goba kinzudi center
__________________________________________
...
kiwanja ni kikubwa, kipo barabarani, ila barabara ya rami iko umbali wa 1.6km
unapata ukubwa unaotaka.
...
kiwanja kipo chini ya kampuni ya uuzaji wa viwanja, kipo fully documented na unapata mpaka hati.
...
piga simu na ukakione. hakuna mlolongo. serious buyers only please
karibuni!