Thermal Flask kubwa na imara,zina uwezo wa kutunza kinywaji cha moto/baridi kwa muda wa zaidi ya masaa 6. Tunaandika jina/logo au maneno utakayo. Ina ujazo wa mls 750 kwa Tsh 40,000 na zenye ujazo wa mls 500 kwa Tsh 35,000. Rangi zilizopo ni Black, Grey, Green, Red, White & Blue.