tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Seeking Work - CVs
  3. Human Resources CVs
Dar es Salaam, Kinondoni, 1 day ago
59 views

Afisa Rasilimali Watu (Hr)

+1
Work Experience
less than 1 year
Job Type
Temporary
Employment Status
Self-Employed
Gender
Female
Marital Status
Single
Age
25
Education
Shahada ya sheria
Still Studying
No
Skills
1.Uwezo wa kuandaa mikataba, hati za madai (pleadings),na barua rasmi za kisheria. 2.Ustadi wa kutumia kanuni, sheria za nchi, na maamuzi ya mahakama (case laws) kutatua changamoto za kisheria. 3.Uzoefu wa kupanga, kutunza, na kufuatilia nyaraka na mafaili ya wateja ofisini. 4.Uwezo wa kusikiliza wateja, kuelewa matatizo yao, na kutoa mwongozo wa kwanza wa kisheria. 5.Ujuzi wa kuandaa majarida ya kesi na kusaidia mawakili wakuu kujiandaa kwa ajili ya mahakamani.
Languages
English swahili
Certifications
Cheti cha form four cheti cha form six cheti cha shahada ya sheria
Highest Qualification
Degree
References
Jomwa attorney, uhindini street, p.O.Box 224,tunduru.
•Kuratibu mchakato mzima wa ajira kuanzia kutangaza nafasi, kuchuja CV, hadi kuendesha usaili na mapokezi ya wafanyakazi wapya. •Kutunza na kuhakikisha usalama wa majalada yote ya wafanyakazi pamoja na kuandaa mikataba ya kazi. •Kusikiliza na kusuluhisha migogoro ya wafanyakazi kwa amani na kwa kuzingatia sheria za kazi. •Kufuatilia na kusasisha taarifa za mahudhurio, likizo, na fomu za matibabu za wafanyakazi. •Kusimamia mifumo ya upimaji wa utendaji kazi wa kila mwaka (Performance Appraisal) na kubaini mahitaji ya mafunzo. •Kushirikiana na idara ya fedha kuandaa taarifa za mishahara, makato ya kodi (PAYE), na mifuko ya jamii (NSSF/PSSSF). •Kuhakikisha taratibu zote za ofisi zinafuata Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini na miongozo ya usalama mahali pa kazi (OSHA).
Show contact
TSh500,000 - 700,000
Report Abuse
Safety tips
  • Don't disclose your personal information
  • Do your research before inviting anyone for an interview
  • Don't open the links that aren't included in the candidate's CV
  • Conduct the interview in a safe and secure office environment
frame_left.gif