Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja.

Posted Jun 1      Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
46 views
 • Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja.
More 6 photos "Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja."
Property Type
House
New Property
No
Total Rooms
3
Bedrooms
3
Bathrooms
2
Furnishing
Unfurnished
Square meters
701
sqm
Broker Fee
No

Ad details

Nyumba zinauzwa Ilala sharif shamba nyuma ya malapa lake oil dk 5 from main road...nyumba zipo mbili na viwanja ni viwili kwenye same compound na open space kwa nyuma ipo ....kila kiwanja kina tittle deed yake nyumba kubwa ina vyumba vitano na ni sqm 280 na kiwanja chenye nyumba ndogo yenye vyumba viwili ina sqm 421 jumla ni sqm 701,Nyumba zote mbili zinauzwa milioni220 tu waweza kuvunja na kujenga kisasa zaidi au kufanya marekebisho madogo madogo ukaishi au kufanya uwekezaji ni sehemu safi Ilala ni karibu na mjini kwa maelezo zaididi nipigie simu.
078 xxx
 • Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja.
 • Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja.
 • Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja.
 • Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja.
 • Nyumba2 Zinauzwa Ilala Kwa Pamoja.
 • TSh 220,000,000
  Last seen 3 hrs ago
  Dar es Salaam, Kinondoni, Region Tanzania Dare saalam
  078 xxx
  0789435704
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
  Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

  Similar adverts