Ghorofa inauzwa Mbweni JKT 500Mil. Kiwanja cha 1,300sqm, vyumba vi4 vyote self contained pamoja na jiko, sitting room, store, public toilet, gypsum, aluminium slide window, tiles, garden, parking kubwa, umeme wa luku & maji ya dawasco. Inamalizika bado vitu vidogo vidogo, nyumba ipo mtaa wa kishua na salama sana. Hati miliki ipo.
Pigs062*********
Total Rooms: 4,
Bedrooms: 4,
Bathrooms: 4