*nyumba inauzwa binafsi*
location: goba mageti dar
bei: mil 180
ukubwa : sqm 1000
ina vyumba vitatu vyote self, dinning sitting room, jiko, store...
umiliki: mkataba wa mauziano wa serikali ya mtaa, pamepimwa hati itatoka kwa jina la mteja
huduma zote za kijamii zinapatika
service charge elf 30
wote mnakaribishwa
tuwasiliane