House for sale
iko ~ dar es salaamtz
mahari ~ mbweni mpiji
mkoa ~ dar es salaam
wilaya ~ kinondoni
____________________
bei ~ tsh mil 900,000,000
________________
nyumba yenye
uwanja wa sqm ~ 986
umiliki ~ hati safi kutoka wizara ya ardhi
_____________
yenye
_____
vyumba saba ( 7 )vikubwa vya kulala vyote self contained
sebule kubwa na dinning
jiko lenye makabati ,heater ya kuchemshia maji motto
air condition, feni
garden nzuri ya kuvutia
swimming pool
cinema room
chumba cha ibada
nk
____________________
gharama za kuoneshwa nyumba zitahusishwa