• 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
More 8 photos "4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale"

4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale

Posted 08/09
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
109 views
Dar
Property Address
Bungalow
Property Type
4
Bedrooms
4
Bathrooms
Unfurnished
Furnishing
Yes
Parking Space
Hii nyumba ni kali sanaaa
Iko magomeni mikumi mtaa wa kisumu
Inauzwa na akitokea mpangaji inakodishwa pia.
Ya gorofa moja vyumba 5 vyote master juu 3 na chini 2 na kuna servants coter ya chumba kimoja master na sebule.
Parking kama gari 4 zinaingia.
Security ya waya za umeme imezinguka
Mtaa umetulia sana kinondoni ni mjini.
Full A/c
Ina title deed sqm 420
Kwa kuuza ni USD 400,000.maongezi kidogo yapo.
Kupangisha ml 1.2 kwa mwezi kodi mwaka au 1.4 miezi 6 .
Nyumba iko wazi kwa sasa kwa maelezo zaidi nipigie.
 • 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
 • 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
 • 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
 • 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
 • 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
 • 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
 • 4bdrm Bungalow in Kinondoni for Sale
 • TSh 800000000
  Dar es Salaam, Kinondoni, Region Tanzania Dare saalam
  0789435704
  Tell the seller that you found the Ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts