Kodi ni 250,000 kwa mwezi malipo ni miezi sita
.
inakua wazi tar 30/01/2023
.
ni apartment nzuri sana ya kupanga ipo kimara korogwe
.
ina vyumba viwili vya kulala kimoja master sebule jiko na public toilet
.
inajitegemea umeme luku yake na maji dawasa yanaflow ndani
.
ipo ndani ya fensi parking space kubwa
umbali km 1,7 kutoka kituo cha mwendokas usafiri upo wa uakika bajaji 500