Brand New (apartment 4) nyumba hii inapangishwa laki-3 na elfu-50 kwa mwezi mmoja-1...
inavyumba viwili vikubwa vya kulala... kimojawapo ni master-room.
sebule kubwa Sana... jiko ndani kubwa lenye kabati za Chini... public toilet ndani.
maji ndani safi ya dawasco... space-parcking kubwa... peving-brock...
mazingira mazuri turivu Sana... ni apartment 4 tu ndani ya fensi moja... kila nyumba inajitegemea umeme na Maji...
nyumba ipo majumba sita-pondi... dares saalam...