Shampoo ya kusafishia gari ambayo husafisha nakukinga ,Mfumo dawa yenye nguvu ya .kusafishia ambayo inasafisha bila kubabua na inalinda mchanganyiko thabiti nahutumika kidogo kwa mda mrefu,kila chupa hutumika kuosha magari 100 haichubui,haiharibu,badala yake huimarisha rangi yake