Husafisha zulia na vitambaa vya kufunikia viti,huondoa uchafu,haitumii mda mrefu na hukauka kwa haraka,Nimchanganyiko thabiti na hutumika kiasi kidogo na kudumu kwa mda mrefu.Imeundwakwa ujazo mkubwa unaofanya njia ya usafi kukausha kwa ufanisi,ina matumizi mengi:huacha vioo vya madirisha viking'ara