Natafuta kazi yeyote inayohusiana na afya kwa kutoa huduma kituoni au nyumbani lakini pia ni mwalimu mzuri napenda kufundisha...kwa yeyote mwenye kuhitaji huduma yangu tuwasiliane kwa namba
Requirements & Skills
punctual and self commitment
Minimum Qualification Requirements
Diploma of nursing and midwifery
Minimum Experience
5 years
Nna uzoefu wa kwenye kitengo cha meno, pua koo na masikio, sindano, Vidonda, Uongozi na usimamizi, Kufundisha, Upasuaji, Ushauri na nasaha, Huduma ya baba, mama na mtoto, HIV/AIDS na Ushauri wa kiroho juu ya shida za kiafya na maisha kwa ujumla.