Jipatie smartphones mpya za Samsung Galaxy A12 boxed sealed.
Zina muonekano mzuri, kamera yake ya mbele 8MP inafanya vizuri sana, kamera ya nyuma 48MP ipo vizuri zaidi.
Zinatunza charge kwa muda mrefu, na zipo haraka zaidi kwenye matumizi ya mtandao (internet).
Zina warrantii ya miaka miwili (24 months warranty).
Dar Es Salaam deliver 5,000/=.
Mikoani natuma ghalama ya usafiri juu ya mteja
Condition: Brand New,
Screen Size: 6.1 > inches,
RAM: 4 GB