All Natural Ingredients, Alcohol Free, Contains Minerals
Features
Je, unataka nywele zenye unyevu, ulaini na mwonekano wenye afya? Tibz Hair Butter imeandaliwa kusaidia kulainisha nywele na kuzifanya ziwe rahisi kuzichana na kuzitunza. Hair butter husaidia kufungia unyevu kwenye nywele, kupunguza ukavu na frizz, na kupunguza kukatika kunakosababishwa na ukavu.
Huongeza mwonekano wa nywele zenye afya na mng’ao wa asili.
Jinsi ya kutumia:
Paka kiasi kidogo kwenye nywele safi zenye unyevunyevu kidogo, ukianzia katikati hadi kwenye ncha za nywele. Unaweza pia kutumia kiasi kidogo baada ya kusuka ili kusaidia nywele zibaki laini na zenye mwonekano mzuri.
TIBZ HAIR BUTTER – Nywele zenye unyevu, ulaini na mng’ao kila siku.
Tibz Beauty
WhatsApp:
Simu075XXXXXXX