"palmers cocoa , oil " ni mafuta kwa ajili ya mwili mzima ambayo yameundwa kwa mmea wa cocoa , Soybean ,Sesame , Safflower .
.
.Kazi kubwa ya hii ;
. - Kuondoa ukavu wa ngozi yako kabisa .
. -Kukupa muonekano halisi wa ngozi kwa kufifisha makovu , kwa kusawazisha Michirizi ya ngozi .
. - Pia huipa ngozi Vitamin E ambavyo ni muhimu sana .
.
.Pia ni nyepesi ambayo itanyonywa na ngozi na kukuacha kuwa soft kabisa muda wote .
.
.Inatengenezewa "Marekani ,U.S.A" na kampuni ya "palmers " .
.
.Pia ni original kabisa
Gender: Unisex