*nyumba inauzwa >house for sale<*
,
#ipo mbezi mpigi magoe
,
#ina vyumba vitatu (kimoja master), sebule dining, choo, bafu, jiko kubwa, na public toilet pia kuna frem moja bado haijaisha vizuri,umeme upo na maji yapo
,
#ina ukubwa wa 840squire meters
,
#bei milion 90 (90,000,00)
,
#service charge 20,000
____________________075*********