Nikifaa chenye mazoezi ya tumbo,mkono,miguu na viungo mbalimbali mwilini ... kinasaidia kutoa mafuta yaliyomo mikononi, miguuni,mapajani na tumboni, pia kwa wale wanapenda sana kucheza michezo mbalimbali kama vile mpira wa miguu na kikapu kifaa hichi kinawapendeza kweli kweli katika mazoezi yao ya viungo kabla ya kicheza mechi yoyote