Kwanini uhangaike kutafuta mafuta ya nywele ambayo hukuza nywele yako kwa haraka na ikiwa chebe magic ipo? njoo ujipatie kwa gharama nafuu na utatuzi ulio bora zaidi, wahi usije ukachelewa
Kuza jamaican castor oil , leave -in-conditioner ;
💥 ni conditioner nzuri sana ambayo imeundwa kwa mmea wa mnyonyo ambao unafaida kubwa sana kwa nywele yako .
.
💥ni conditioner ambayo huimarisha afya ya nywele yako , kama ilikuwa dhaifu au ilikuwa inakatika katika .
.
💥ni conditioner ambayo hukuza sana nywele yako na kuwa na ujazo mwingi wa nywele .
.
.💥ni conditioner ambayo hitibu pia nywele zenye matatizo mbali mbali kama mba .
.
palmer's skin therapy oil ( mafuta maalum kwa tiba ya ngozi ) ;
mafuta yanayotibu (kuondoa) makovu ya aina yeyote .
mafuta yanayotibu (kuondoa) michirizi ya ngozi , strechmark .
mafuta yanayotibu (kuondoa ) ukavu wa ngozi yako .
mafuta yanayotibu(kupambana) na kuzeeka haraka kwa ngozi .
mafuta yanayosaidia kukupa muonekano halisi wa ngozi na kukufanyasoft kabisa .
nb ;ni mafuta yalipimwa kitaalamu na kuonekana hayana madhara kabisa kwa binadamu (dermatologist )
Fair and white gold 2 oil .
.
. ni mafuta ya maji ambayo kazi yake ni kukuweka soft kabisa .
. ni mafuta ya maji ambayo kazi yake ni kuondoa makovu kwenye ngozi .
. ni mafuta ya maji ambayo yanaludisha muonekano halisi wa ngozi yako .
. vile vile inaondoa makunyanzi usoni .
.
"lift up massage cream " ni kwa ajili ya kuongeza hips na kukufanya kuwa na shepu nzuri yenye mvuto .
.
.Matumizi yake ni kama unapaka kama unafanya massage .
.
.
"kuza black castor oil jamaican " ni mafuta nywele yanayotokana na mmea wa MNYONYO na mimea mingine ya asili .
.
.Mafuta ya mnyonyo husaidia ......
. -Hutibu nywele(tiba) ambazo ni dhaifu(zisizo na ukuaji bora ) .
. -Mafuta ya mnyonyo n husaidia king'arisha nywele .
. -Husaidia kukuza nywele kwa harak na zenye afya .
. -Huipa nywele unyevunyevu (kuondoa ukavu ) .
.
.Inatengenezwa na kampuni ya "kuza " iliyopo "london"(wembley).
.
Kipasi ni dawa nzuri sana kwa watu waliopooza viungo,kuumwa na mgongo,nyonga,misuli,kiharusi,kufukuza mdudu mbaya mwilini kama vile subiani,miguu kuwaka moto viungo kuchoka kuumwa na kichwa n.K
"vaseline cocoa body oil " ni jelly ya mwili ambayo imeundwa na cocoa butter halisi(mmea wenyewe) ,
kazi yake ,
-inaondoa ukavu wa ngozi .
-inapunguza athari za mionzi ya jua .
-inasaidia kuludisha muonekano halisi wa ngozi .
-inasaidia kuondoa mikunjo .
-inaweza kutumika kama tiba kwa mfano kam mtu kapata athari za moto , michubuko kwa ngozi .
.Inatengenezwa na kampuni ya "Vaselline " ipo UK(uingereza) na kusambazwa na "unilever " .
. zipo
Tara Amla hair oil combines the goodness of amla fruit (Indian gooseberry) with a blend of vegetable and mineral oils to promote long, healthy hair. Tara Amla hair oil has been the secret of beautiful hair in India and around the world for over 50 years