Ad is archive
find similar ads in Hair Beauty in Kinondoni

• Archive: Avocado Oil

Archive: Avocado Oil

Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Other
Brand
Hair Oil
Type
Archive: “Moisturizing avocado oil ni mafuta halisi ya parachichi yasiyo na viambata sumu wala kemikali yoyote, mafuta haya yanauwezo mkubwa wa kupenya kwenye ngozi na kati kati ya unywele hivyo basi kukupa faida zifuatazo....
Kwenye nywele.....
>hulainisha na kurutubisha nywele
>huziimarisha na kuzuia kukatika
>hutunza unyevu wa nywele
>hujaza na kurefusha kwa haraka
>hutunza rangi na kuzipa mng'ao
>huondoa mba
> suluhisho la uhakika la upara
Kwenye ngozi
*Hulainisha ngozi na kuiongezea unyumbufu
*hupenya na kurutubisha mpaka ngazi ya pili ya ngozi(demis)
*hufifisha makunyanzi, michirizi mabaka na makovu
*huharakisha uponyaji wa vidonda na mikato
*huimarisha kucha na kuondoa magaga
Karibu tukuhudumie kupitia namba zifuatazo
CLOSED

Afyatele Tanzania

Last seen 1 day ago

Similar adverts