Taa nzuri za kisasa kwajili ya bustani yako ni wewe tu kusema unaitaji taa ngapi uletewe
taa zinatumia umeme wa jua yani solar na zina jicharge kwa muda wa masaa 12 na kuwaka kwa masaa 12 nikwajili ya garden zinafaa sana
karibu leo uagize auitaji fundi wa kufunga ni wewe tu kuzichomeka chini na kuzipangilia vizuri
zina pendeza sana