Taa Za Garden Za Solar Sio Za Kukosa Kabisa Nogesha Garden
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni, 1 hour ago
3 views
Taa Za Garden Za Solar Sio Za Kukosa Kabisa Nogesha Garden
+1
1
Garden Lighting
Type
Brand New
Condition
Garden
Brand
Plastic
Material
Garden (above ground), Other
Installation Area
Flame Light
Lighting Type
Solar
Garden Lighting Power Source
Bulb / Tube Included, Energy Saving, Waterproof
Garden Lighting Features
Warm White
Light Color
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Tupo dar es salaam MOROCCO, TABATA, MWENGE
UNAWEZA KUJA OFISINI
AU UNAWEZA KUFANYIWA DELIVERY
Closed now
• Mon - Sat, 09:00-18:00
Aya boss wangu umeona izo taa hapo juu basi izo ni kwajili ya bustani yako aijalishi iyo bustani yako ipo wapi ata kazini. nyumbani, popote pale penye bustani ya maua au pembezoni kwenye njia za kwendea ndani unazipanga taa zako za kutosha usiku ukifika.
eneo la bustani linakuwa ninavutia sana
nikwambie kitu ukitaka kunishawishi nikupe discount kubwa basi agiza taa nyingi nitakupa discount nzuri sana
ila kumbuka taa ni dogo sio kubwa sana nazani umeona hapo kwenye picha
na bei nimekuwekea hapo ni ya taa 1 tu