Solar Column Lamp yenye remote control na RGB rangi nyingi kwa mapambo ya fence, gate na bustani. Inachaji kwa jua, haina bili ya umeme, na ni rainproof hivyo salama hata mvua ikinyesha. Ina mwanga mkali na kisasa kwa mazingira yako. Bei ni 48,000/= tu.